KAULI YA MHESHIMIWA WAZIRI WA HAKI ZA BINADAMU, USTAWI WA JAMII NA JINSIA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WAZEE, TOREO YA 2018
1. Tarehe mosi Oktoba kila mwaka, dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wazee. 2. Mwaka huu mandha ya kimataifa na pia iliyochaguliwa katika nchi yetu …